Maombi ya Intern au volunteer

Maombi ya Intern au volunteer

princeNathan

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
375
Reaction score
773
Rejea kichwa cha hapo juu mimi ni kijana umri miaka 28 nina masters degree in computer science vijana wezangu,kaka zangu , baba zangu, mama zangu na wazee wangu naomba mnisaidie niweze kutengeneza ujuzi wangu kwa kupata experience ya taaluma yangu kwa volunteer au internship.

Mimi nina ujuzi wa data science , data analytics , AI,Machine learning na mobile application developer.
Pia naomba kama kuna vyuo vya kati niweze kufundisha kwa mawasiliano zaidi 0617458687 asanteni
 
Umesoma nje ya nchi? Ninachojua unaposoma chuo fulani project yako ikibamba hapohapo wanakuchukua ufundishe wanafunzi wa elimu ya chini! Hii niliiona pale DIT kuna mwamba project yake ya land survey ilibamba hapohapo akapata kazi ya kufundisha module ya survey kwa wanafunzi wa civil engineering!
 
Yahnimesoma nje project yangu ilikubalika wakani offer phd ya data science ila masilahi yalikuwa madogo tukashindwana kutokana na mazingira ya nje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom