Maombi ya Gwajima huwa yanamfikia Mungu?

Maombi ya Gwajima huwa yanamfikia Mungu?

Dozencut

Senior Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
159
Reaction score
38
Maana ni mmoja wa watu waliooneshwa ushindi wa EL, baada ya kupiga goti mbele za Allah,
Waumini wake tafakarini mchukue hatua.
 
Sidhani kama mtu mwenye mipango ya kuwabagua waislamu kama anasikilizwa na Allah
 
Sialiwahi kusema Edo lazima aingie Ikulu?
 
Mbele za Allah?
why unatukana watu wasiohusika hapa?
Gwajima na Allah wapi na wapi?
au raha yako mpaka utukane na waislam?
 
Nahisi ni sehemu ya laana inayomtafuna, mbasha Mungu kamjibu through........
 
gwajima nabii joshua kakobe na jamii hiyo sio viongozi wa dini ni waganga wa kienyeji tu
 
Maana ni mmoja wa watu waliooneshwa ushindi wa EL, baada ya kupiga goti mbele za Allah,
Waumini wake tafakarini mchukue hatua.
Huwa anamuomba shetani,ndio maana walikua tayari kaweka mkataba na shetani
 
Acheni kuongea upuuzi wenu wale ni watumishi wa Mungu walisema kweli kwani si ameibiwa kula zake lakini Mungu ni Mungu uwezi kinachoweza kutokea kwani magufuli kashaapishwa acheni kuwaziaki watumishi wa Mungu mtapata ukoma shauri yenu.
 
Maana ni mmoja wa watu waliooneshwa ushindi wa EL, baada ya kupiga goti mbele za Allah,
Waumini wake tafakarini mchukue hatua.

yanaishiaga mdomoni mwake maana hayatoki rohoni na kwa ss itabidi awe dokta kutoka kwenye uaskofu ili akapambane na magonjwa ya mifugo ya boss wake
 
Acheni kuongea upuuzi Haujui alichopanga MUNGU hayupo wa kukipangua/kukibadilisha? Hata ingekuwa kwa wizi, zaidi wangeiba na kumuongezea Lowassa. wenu wale ni watumishi wa Mungu walisema kweli kwani si ameibiwa kula zake lakini Mungu ni Mungu uwezi kinachoweza kutokea kwani magufuli kashaapishwa acheni kuwaziaki watumishi wa Mungu mtapata ukoma shauri yenu.
Nishida
 
Huwa anamuomba shetani,ndio maana walikua tayari kaweka mkataba na shetani
Kile kipete cha Gwajima ndo hicho alimpeleka Swahiba wake EL huko Nigeria na akapewa sasa kimemtokea puani. Si wa Tanzania wote wana abudu dini za mashetani. Tuna akili ya kutambua na kuchambua pumba na mchele.Walipoamua kuzamisha taifa na kusema upepo kutoka baharini unabadirika na sasa wimbi zito linakuja Tanzania na litakuwa na mafuriko. Wachungaji na masheik wakaanza kuomba zimwi la Gwajima likarudi baharini na nchi ikajawa neema na upepo mwanana wa bahari ukavuma kuelekea Tanzania.Wakabaki wanakula makomao na sasa Tingatinga ametinga Ikulu peupeee na jamaa anarudi Monduli kuchunga ng'ombe wake.Nawasaii Watanzania waepuke dini za mashetani. Tangu lini mtu akaabudu misukule. Mimi naamini wale waliokuwa wana udhuria mikutano yake na Mh. Sumaye anasema ni mafuriko, ni kweli yalikuwa mafuriko ya misukule. Hawakuwa watu wale. Umewai kumuona mtu yeyote akakwambia kuwa alikuwa kwenye mkutano wa kampeni wa Lowasa???Ilikuwa misukule ya Gwajima hile.
 
Gwajima a.k.a mshenga kapoteza sifa za kuwa mchunga kondoo
tunamkaribisha huku majukwaani tutukanane kidogo
 
Maana ni mmoja wa watu waliooneshwa ushindi wa EL, baada ya kupiga goti mbele za Allah,
Waumini wake tafakarini mchukue hatua.


VUTA SUBIRA KIDOGO TU UTAELEWA...
Tanzania imekabidhiwa mikononi mwa CHADEMA yaani Mh. Lowassa na UKAWA.
 
Waacheni Gwajima na Mh Lowassa wapumzike..wameshakataa matokeo..tungoje agenda nyingine toka Ukawa
 
Back
Top Bottom