Maombi mazuri ya Christmas kutoka Ukraine

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
65,181
Reaction score
111,804
Merry Christmas Ukraine!
20221225_072608.jpg

20221225_072558.jpg
 
Ha ha ombea kwanza Somalia, Kongo, Mali, Bukinafaso, na Msumbiji.
Mbumbumbu kweli au hujui Kama Kongo Kuna Vita kwa miaka 60+ SA hivi?
Wana uspesho gani tuwaombee hao?
 
Hayo ni maombi ya waUkrane kwao na kwa hawa uliowataja ambao wengine wanapigana kutokana na utawala mbovu, ukabila na dini.

Ukraine pia wanagongeka kwa kuendekeza uhasama dhidi ya RF
 
Wewe watu wangapi wenye uhasama nao wamekugonga kwa kuendekeza uhasama nao?
Uhasama dhidi ya taifa na uhasama dhidi yangu raia wa kawaida kutoka Nangurukuru ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Wewe leta hayo ya kuwaombea wanaouwawa na Alshabab au magaidi wengine ambao ni raia hizo nchi huko Somalia, Mali au Msumbuji.
Iko hivi Kuna mwenzako pia aliletaga Uzi wa maombi juu ya Ukraine but huo Ni unafki mkubwa kabisa. Kama unasahau kuwaombea jirani zako akina mama na watoto wanaotangatanga hapo chini Cabo del Gado Ni miujiza kujifanya una huruma Sana dhidi ya taifa la ulaya.
 
Upo vizuri.
 
Back
Top Bottom