meck pro
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,355
- 2,932
Ingia google andika I love pdf bonyeza linki ya kwanza hapo then Kuna sehemu ya kuchange pdf to jpg utaona hapoUtaalam wa hizi pia ni changamoto kwangu nimezoea PDF
Ingia google andika I love pdf bonyeza linki ya kwanza hapo then Kuna sehemu ya kuchange pdf to jpg utaona hapoUtaalam wa hizi pia ni changamoto kwangu nimezoea PDF
Shukrani ngoja nitafanya hivyoIngia google andika I love pdf bonyeza linki ya kwanza hapo then Kuna sehemu ya kuchange pdf to jpg utaona hapo
Mrejesho: nimefuata taratibu nilizoelekezwa humu kubadilisha PDF kwenda JPG na nikafanikiwa kubadilisha lakini kila niki-upload kwenye portal ina niambia successfully saved lakini niki-view nakuta bado hakujabadilika. Naombeni niongezewe technical advice. Otherwise awamu ya kwanza mlinishauri vizuri. Thanks!Shukrani ngoja nitafanya hivyo
Log out kisha baadae log inMrejesho: nimefuata taratibu nilizoelekezwa humu kubadilisha PDF kwenda JPG na nikafanikiwa kubadilisha lakini kila niki-upload kwenye portal ina niambia successfully saved lakini niki-view nakuta bado hakujabadilika. Naombeni niongezewe technical advice. Otherwise awamu ya kwanza mlinishauri vizuri. Thanks!
Yaani nimefanya Jana nika-log out leo nimekuta bado.Log out kisha baadae log in
Nomaa sanaa huo msuli Ni walking DeadNahisi wataunganisha na zile za TPA, hivyo itachukua mda kidogo. Kwa makadirio ni mwezi wa sita au wa saba mwanzoni
Vyuo vinafunga lini?Ngoja vyuo vifungwe dogo tutawaita
Next FridayVyuo vinafunga lini?
Dadeq, unaweza kuwa wewe na account 2Ngoja nibadili Jina humu... Maana watu wa kuiga miondoko ya watu mko wengi dadeq
Tukutane weekey ya wiki kesho, UDOM wanasepa wiki keshoTRA naona kimya
Uliomba ipi mkuu?Tukutane weekey ya wiki kesho, UDOM wanasepa wiki kesho
Nikajua tutakua wote pande hizoNawapa Mzuka na kufurahisha genge tu hii kazi hata hazinihusu Mimi na Wala sikuomba Mkuu
Hapana Kijana... We jiandae tu ukawapelekee moto kule utumishi au sioNikajua tutakua wote pande hizo
Sijafuatilia mkuu, me sikwenda.Vp waliopiga pepa Jana TNS - Account Officer wanasemaje..?