Maombi kwa Waziri wa Kilimo, mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
517
979
Kutokana na mavuno makubwa ya mpunga msimu huu tunaiomba Serikali inunue mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki.

Kuna wafanyabiashara toka Kenya na Uganda tayari wameingia katika Mikoa ya Mwanza, Geita, Mara wakinunua mchele kwa bei ya kutupa kutokana na umaskini wa wakulima wetu.

Zao la mpunga pia unununliwe kama mazao mengine kama korosho na mahindi. Mhe. Bashe wasaidie wakulima wa mpunga.
 
Mama alisaini africa free trade area agreements.wakenya wamechangamkia fursa.aliyelala usimwamshe utalala wewe.
 
Back
Top Bottom