Manzi wangu wa kitanga

hahahah, daah mkuu shukran kwa kuniburudisha na story hii
 
kumbe hii ni hadithi?nilifikiri ni story ya kweli

Mkuu ni hadithi! Jamaa kasahau kuwa alishachukua gesti Chuda, akamtaka Aisha amtafutie tena gesti ya jirani na walipokuwa wanakata maji!

Ukiwa mwongo inabidi uwe na kumbu kumbu sana...!!
 
jamaa liongo kweli hili shenziiiiiiiiiiiiiii...........!!!!!!!!! eti kisa pombe..! kondomu miguuni aaa wapi.....!!
 
Waja leo warudi leo, wataka leo wapata leo, kunani paleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…