Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Lakini ukiwa na mtoto wa ki Tanga hujuti kua nae,utamkumbuka daima kwa RAHA zake........
kwa mwanaume anaewaza k tu ni kweli hatojuta
ila kwa mwanaume anaewaza maendeleo lazima ajute!!
Kila mtu na mtizamo wake na anavyoichukulia Tanga.......
Salaam mkuu...habari ya upande wa pili wa maji?
mida ya saa tano usiku ndio mlirudi
ukaoga,ukala,mkiwa tungi ukakatwa kucha usiku
huo huo heheeeeee!!ngumu kumesaaaaaa @ shigongo lol!!
Tanga hiyo wifi...alikuja na makucha yake marefu na ndevu zake za ndani kaa msitu toka mbeya mwanamke wa kitanga akona bora amsafi mwili ndo mambo yaendelee, lol
kaka kimya....Kwema lakini?Huku shwari,
kila siku naiangalia namba yako nanuwia kukupigia simu ila kuna shetani ananitinga..niwie radhi!
Karibu sana hapa jirani...
basi huyo mwanamke atakua alikunywa
juisi ya embe na si bia wala grants wallah!!
inawezekana kwani tulikuwa tunakunywa pamoja lakini mimi nililewa zaidi kuliko hata yeye