Ungejaribu kufuatilia biashara hiyo ya mama lishe ungewaonea huruma wanafanya kwakuwa tu hakuna kitu kingine ambacho atafanya, ana kopa mahitaji yote asubuhi jioni anaenda kulipa akibaki na buku mbili anamshukuru mungu!! Kwa akili ya kawaida tu huwezi ona kuwa manunuzi ya unga yamepanda? Ila hanajinsiwateja wenyewe ndio nyie ikaongezeka 200 tu ni shida.Hapa Mbezi Mwisho ugali mkubwa na mboga 3( nyama, maharage na tembele) buku moja tu, hivi wapi kuna njaa hapa Tanganyika wajameni.
Au mnapindisha maneneno njaa ya pesa ndio mnaiita njaa ya chakula?
haha mimepiga sana hii mambo mkuu.mpaka mtu ulikua unajiuliza chuo umeenda kusoma au kujifunza maisha magumucha pori nyuma ya Coet kwa simbaaaa
Ndo bei gani kwa Tsh?Buku jero
Ni 22,556/=Ndo bei gani kwa Tsh?
???????Ni 22,556/=
Kipindu pindu hicho mkuuSisi huku gongo la mboto..
Ugali +tembele, mlenda, kisamvu, samaki kipande 1, maharage, dagaa na bamia=1, 500.. Mboga zote unapewa mara moja..
Mkuu hakuna kipindupindu, vyakula vyote vinapikwa kwenye mazingira safi alafu kila kitu ni cha moto.Kipindu pindu hicho mkuu
Kwa shibe hii ukiambiwa kuna mtu ananjaa uwezi kuamini.Sisi huku gongo la mboto..
Ugali +tembele, mlenda, kisamvu, samaki kipande 1, maharage, dagaa na bamia=1, 500.. Mboga zote unapewa mara moja..
...duh,kumbe mboga 7 sio Masaki na O'bay tu;mpaka Gomz mpo!Sisi huku gongo la mboto..
Ugali +tembele, mlenda, kisamvu, samaki kipande 1, maharage, dagaa na bamia=1, 500.. Mboga zote unapewa mara moja..