Manyonyo yaliyopo kwenye kifua cha mwanaume yana kazi gani?

Squidward

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,930
7,949
Uhali gani?

Hili swali nimeuliza na dogo hapa nimeshindwa kumjibu zaidi ya kuguna tu. nimeona nilete kwa madaktari wa jf huenda wakawa wanajua kisayansi kazi ya hizi manyonyo kwa wanaume ni nini. na je yanaitwa manyonyo, Chuchu, Maziwa au Matiti?

karibuni

chest-workout-2609__resized.jpg
 
Kwangu yana kazi sana..nkigusana na mwanamke ata kama nlikua mbali kimawaza akili inarudi fasta
 
Kwa mm nijuavyo mwanaume akiwa natatizo l ini hali hiyo hutokea....ila kwa huyo anayeonekana kwny hyo pic lbd hormone hazija balance vzr
 
Mjibu hivii "ukisikia macho ya kiroho ndio hayo sasa, si umeona yapo mawili."

Alafu ondoka zako, usiruhusu swali lingine.

Alafu ukiwa unapotelea uongezee hivi, "ndio maana hakuna shekh au padre mwanamke"
 
Vueni nguo ( me na ke) kwa wapenzi kisha gusanisheni vifua vyenu hasa chuchu hizo- the way utafeel leta mrejesho
 
uhali gani?. hili swali nimeuliza na dogo hapa nimeshindwa kumjibu zaidi ya kuguna tu. nimeona nilete kwa madaktari wa jf huenda wakawa wanajua kisayansi kazi ya hizi manyonyo kwa wanaume ni nini. na je yanaitwa manyonyo, Chuchu, Maziwa au Matiti?

karibuni

View attachment 674741

They are very sensitive and are a source of sexual stimulation.

Angalia na jiulize pia function ya labia majora au labia minora kwenye uke.
 
"Why Men Have Nipples. As embryos in the womb, males and females have similar tissues and body parts. In fact, all embryos start out as female, which is whynipples are present in both sexes. ... These vestigial nipples have nofunctional use
 
Mimi nadhani na sisi tunanynyesha.

Pia yawezekana Maziwa yetu yakawa ni matamu na yenye virutubisho vingi pengine kushinda yale ya Ngamia...!

Mungu ana sababu zake kutuumba Wanaume na kutuwekea Maziwa Kifuani.

Waje wataalamu na watafiti wa mambo watuweke sawa.
 
Zinaitwa chuchu,maziwa kama zinatoa maziwa,nyonyo kama zinanyonywa na kutoa chochote kwa mnyonyaji,matiti kama ukiwa unarukaruka yan kama mshale Wa saa ti ti ti ti.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom