Manyonyo ya Kichina....

Mkuu sio kwa waliokatwa tu matiti, hata kwa wenye matiti madogo wanvaa hizi. Ukienda china wasichana wanazivaa sana tu maana wachina wa kike majority wana vititi viduuchu kwa asili.

china ipi wanavaa huu upuuzi...
 
Hata kama utapata kansa ukakatwa matiti!
Bado nasisitiza sidhani km crisis ya kukatwa matiti imekuwa kubwa hivi kiasi cha hizi artificial kutundikwa na kuuzwa km bidhaa...na bado my concept i the problem ya kutijikubali vile tulivyoumbwa....au consequence zinazotokea as tunaishi. What i mean is hata nikikatwa matiti kwa saratani na nikayavaa it will not change the reality kwamba sina tena matiti. Wapo waliokatwa na wakawa comfortable kuwa walivyo bila hata kuyavaa...so it is possible for me also kukatwa na nikaishi bila kuvaa...the matter here is to accept the reality.
 
Bado k za kichina tu manake manono ndo hayo, ma------ tumeshaysona..
 
Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
KOKUTONA.......wanavaa lakini si kwa kupenda!!! ukiw aumekamilika hata yakiwa lapa vipi hutavaa! lakini ukiwa umekatwa..........au ndio hivyo tena viduchu kam aalivosema Kingmairo utaona heri haya ya kichina kuliko bilabila!
 
Last edited by a moderator:

Vp kuhusu uhakika wa afya ya ng'ozi yako kwa kuvaa hayo madude Paloma? Nani amethibitisha km hayana madhara hasa kansa ya ngozi?
 
Last edited by a moderator:
Vp kuhusu uhakika wa afya ya ng'ozi yako kwa kuvaa hayo madude Paloma? Nani amethibitisha km hayana madhara hasa kansa ya ngozi?

nadhani ni bora kuyavaa haya maplastick - kama wavaavyo zile vyupi za kukuza makalio na hipsi kuliko kunywa dawa za kuongeza hayo au kufanyiwa surgery ya kuongeza hizo kitu (wanatiliwa ma-silicon humo ndani ya mwili wako). I guess hii unavaana kuvua kam sidiria tu kawaida!
KOKUTONA nasema hujakumbwa dadangu....ile agony ya kuambiwa na daktari kwamba haya sasa unakwatwa titi moja au yote, au mguu au kiungo chochote ya mwili - hivi unaifikiriaje!

Cha kushukuru ni kuwa mpaka sasa tu wazima wa afya! na kwamba viungo vyote vimekamilika!
 
Last edited by a moderator:
Wenye matiti madogo wanavaa bra zina sponji. Hii haikai juu ya titi lingine unless ana kifua flat kabisa kama mtoto wa miaka 8
Mkuu sio kwa waliokatwa tu matiti, hata kwa wenye matiti madogo wanvaa hizi. Ukienda china wasichana wanazivaa sana tu maana wachina wa kike majority wana vititi viduuchu kwa asili.

Temea chini mpenzi. Wanaovaa hizi wengi hawajitakii. Mshukuru Mungu kakupa matiti mazuri yenye afya
Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
 
ha ha ha ha..., ila ndo kama yangekuwa ya ukweli yanaonekana matam sana aisee..., kuyanyonya safi sana..
 
Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
Ni mahsusi kwa ajili ya wanawake waliokatwa matiti baada ya kugundulika kuwa na saratani ya matiti. Katika hali ya kawaida mtu hauwezi kuyavaa hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…