Manyerere kugombea ubunge 2015

Nakumbuka jk alivyoingia madarakani vichwa vya habari vya manyerere "kikwete kama nyerere, lowasa kama sokoine" nilivyo m sms kumuuliza ni kweli lowasa ni kama sokoine kwa kuwa wote ni wamasai? Akajibu ndiyo lowasa ni mchapa kazi kama sokoine, swali la pili, sokoine alikufa akiwa na jozi tano za viatu, na wala hakuwahi kumiliki hata volkswagen je bado wanafanana? Mpaka leo hajanijibu, naomba anijibu sasa kwa kuwa labda yuko huru zaidi
Alikuwa na matumaini ambayo kamwe hayatatimia.hotuba ya JK ya kwanza bungeni wengi walidanganyika nayo wakadhani wamepata bonge la president kumbe wapi ni bonge la mtalii.
 
Back
Top Bottom