Manyerere Jackton: Ukimya Wetu Unaliumiza Taifa;

Manyerere Jackton: Ukimya Wetu Unaliumiza Taifa;

Jacton na Balile ni Chawa waandamizi 😁
Sikatai. Ila kwa siku za karibuni huyu Manyerere Jackton na mwenzake Absolum Kibanda wamekuwa wakijitahidi kusimama kwenye ukweli na uhalisia ukilinganisha na waandishi wengine wa habari.
 
Lakini hao hao wanakwenda mbali zaidi na kuhoji, kama Rais hapandezwi na haya yanayoendelea, mbona yeye mwenyewe yuko kimya? Ameridhika kuona raia wake wakivunjwa mikono, miguu na nyonga bila hatia? Kwa nini basi, asimwagize hata waziri wake mmoja akemee hii piga-piga iliyohalalishwa?

Labda mheshimiwa raisi hakemei kwa sababu:

-hao wanaofanya hayo matendo maovu amepanga na kukubaliana nao wafanye hivyo.

-pengine haoni umuhimu au thamani ya hao wanaoumizwa (wananchi, wakosoaji) katika kupata madaraka, nafikiri hao wanaowaumiza watu wasiokuwa na hatia wamemwahidi kumbakiza madarakani kwa namna yoyote ile na pengine naye kawaamini na kuwatuma wampiganie ndiyo maana yupo kimya.
 
Back
Top Bottom