mchakavumlasana
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 389
- 213
Habari wanajf
najua humu tanesco mnnapita
hivi mtatuonea mtoni kijichi mpaka lini?
Tumekua kama vifaranga vya kuku mbele ya mwmwewe
Yanakaribia masaa 24 sasa hatuna umeme
na hii sio mara ya kwanzaa
kila siku sababu mara low voltage
mara genereta
ila mbona kipindi cha uchaguzi umeme haukatiki na voltage zinakua sawa?
Mpaka tuandamane?
maana mlianza na style ya kukata hata mara 20 kwa siku
sasa mmeendelea mnatuweka giza masaa 24 na zaidi
sisi tunaotegemea umeme ili kufanya vibiashara vidogo ndo hatuingizi
majumbani hakulaliki
mnakera sana aisee