Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 383
- 347
Hamna namna aisee...Duuuhh!!! Tafuta sanduku la posta mkuu kukwepa hiyo inshu na umtaarifu seller atume as gift so no taxes needed to pay
Mkuu hebu nifafanulie kuhusu usalama Na uhalali wa kuweza kuupata mzigo manake nataka ninunue bidhaa moja kutoka Ancona Italy Na mzigo utumwe kwa njia ya posta moja kwa moja mpaka posta ya wilaya ambayo nipo Mimi ILA sanduku la posta Ni la oficini kwangu.mzigo wenyewe Ni Lumia 950 Ikiwezekana nisaidie kujua njia ya fasta ambayo posta wanaweza tuma mzigo fasta Na makadirio ya gharamaDuuuhh!!! Tafuta sanduku la posta mkuu kukwepa hiyo inshu na umtaarifu seller atume as gift so no taxes needed to pay
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi niwapigie watu wa Fedex Tz waweze kunijulisha gharama ambazo mi nitalipa ili niweze kuchukua mzigo wangu
Haya ndo majibu yao
Nitalipa VAT 18%=54$
Nitamlipa clearing agent TSH 168,000/=
Custom duty 10% ya mzigo=30$
Gharama jumla inakuja approx..= TSH 350,000/
Kwa ujumla gharama za ku clear mzigo ni 50% ya thamani ya mzigo.
Imebidi tu nighairi nikaitafute simu kariakoo
Mkuu mi kulipa ushuru sina tatizo. tatizo gharama ya ku import inakuwa kubwa sana kiasi kwamba bora ninunue hapa bongo tuMkuu lipa tu, tumsaidie RAIS wetu tujenge nchi.
Kama wewe hujajenga nchi nani atajenga?
Nilikuwa katika mipango ya mwisho ili niweze kulipia simu ebay (Nexus 5x) kwa thamani ya 300$ (shipping included) baada ya seller kuniambia ana ship kwa fedex international priority ikabidi niwapigie watu wa Fedex Tz waweze kunijulisha gharama ambazo mi nitalipa ili niweze kuchukua mzigo wangu
Haya ndo majibu yao
Nitalipa VAT 18%=54$
Nitamlipa clearing agent TSH 168,000/=
Custom duty 10% ya mzigo=30$
Gharama jumla inakuja approx..= TSH 350,000/
Kwa ujumla gharama za ku clear mzigo ni 50% ya thamani ya mzigo.
Imebidi tu nighairi nikaitafute simu kariakoo
Somo zuri nimeanza Ku gain kitu hiyo tracking number inakuaje samahani. kwa usumbufu sawaaisee pole sana kwa kutokujua ndugu yangu. ni kweli ni mujibu wetu kujenga taifa ila sio kwa unyonyaji...
back to topic;
1- unapotumiwa mzigo either kwa dhl au fedex au eramex kwanz HUHITAJI CLEARING AGENT... hujaagiza kontena umeagiza bidhaa tena ndogo mno kuhitaji hawa majamaa.
2- tumia njia mbadala kama kuandika mzigo ni gift au kupitia posta on a secure company p.o box... na kufungua box posta ni bei nafuu sana
3- unapotumia posta kuship mzigo kama simu MAKE SURE kuwa unalipia shipping (usichukue free shipping offers) hii ni sababu ya wauzaji kutumia cariers wabovu kwa free shipping ambapo mzigo ako unaweza usionekane au ukapotea. so you must pay for shipping na uwe offered tracking number na hiyo shipping fee isiwe kubwa sana (above 50 usd). sisitizia sana trackin number.
Kwa kupitia cmu Tu au fafanua kaka Ni ngeni kabisa hiyo makitu ndio naisikiaa leoTracking number ni number inayokuwezesha "kutrack" na kujua mzigo wako umefika wap (nchi gani) mpaka unapoingia tz
Hata kwa simu pia unaweza ku track mzigo wakoKwa kupitia cmu Tu au fafanua kaka Ni ngeni kabisa hiyo makitu ndio naisikiaa leo
Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Kiukweli hata mi nilishangaa kuambiwa nimlipe CLEARING AGENT kwa simu moja tu. Kuna baadhi ya wadau walileta feedback ya mizigo kupotea posta. sijajua km hilo tatizo bado lipo hadi saivi ngoja nifatilie nione.aisee pole sana kwa kutokujua ndugu yangu. ni kweli ni mujibu wetu kujenga taifa ila sio kwa unyonyaji...
back to topic;
1- unapotumiwa mzigo either kwa dhl au fedex au eramex kwanz HUHITAJI CLEARING AGENT... hujaagiza kontena umeagiza bidhaa tena ndogo mno kuhitaji hawa majamaa.
2- tumia njia mbadala kama kuandika mzigo ni gift au kupitia posta on a secure company p.o box... na kufungua box posta ni bei nafuu sana
3- unapotumia posta kuship mzigo kama simu MAKE SURE kuwa unalipia shipping (usichukue free shipping offers) hii ni sababu ya wauzaji kutumia cariers wabovu kwa free shipping ambapo mzigo ako unaweza usionekane au ukapotea. so you must pay for shipping na uwe offered tracking number na hiyo shipping fee isiwe kubwa sana (above 50 usd). sisitizia sana trackin number.
Asante sana mkuu kwa ushauri wako. Kiukweli hata mi nilishangaa kuambiwa nimlipe CLEARING AGENT kwa simu moja tu. Kuna baadhi ya wadau walileta feedback ya mizigo kupotea posta. sijajua km hilo tatizo bado lipo hadi saivi ngoja nifatilie nione.