E eZe70070 New Member Jan 25, 2016 1 0 Jan 25, 2016 #1 Mambo vipi wanajamii? Naomba kuuliza, kama kuna mtu amewahi kununua item ama kitu chochote kwenye website ya Ebay. Namwomba anijulishe mpango mzima ukoje na hiyo item utaipokelea wapi? Aksanteni kwa mda wenu.
Mambo vipi wanajamii? Naomba kuuliza, kama kuna mtu amewahi kununua item ama kitu chochote kwenye website ya Ebay. Namwomba anijulishe mpango mzima ukoje na hiyo item utaipokelea wapi? Aksanteni kwa mda wenu.