Manunuzi ebay!! Msaada kitu cha muhimu!!

Manunuzi ebay!! Msaada kitu cha muhimu!!

MaMals

Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
46
Reaction score
8
Wasalam wanajf!! Siku kadhaa sasa Nasoma taratibu za kufanya manunuzi mtandaoni kutumia ebay. Katika kusajiri ebay account Kuna baadhi ya vitu sijavielewa mfano address, Postal code. kwa sasa nipo mbali na nyumbani, nasoma chuo kimoja hapa Dodoma.

Je, ni naweza kutumia address ya chuo kama njia ya kuupata mzigo na vile vile nitajuaje kama mzigo umefika Dodoma?. Hii postal code ndo' sijui kitu gani..Msaada tafadhari
 
Wasalam wanajf!! Siku kadhaa sasa Nasoma taratibu za kufanya manunuzi mtandaoni kutumia ebay. Katika kusajiri ebay account Kuna baadhi ya vitu sijavielewa mfano address, Postal code. kwa sasa nipo mbali na nyumbani, nasoma chuo kimoja hapa Dodoma. Je, ni naweza kutumia address ya chuo kama njia ya kuupata mzigo na vile vile nitajuaje kama mzigo umefika Dodoma?. Hii postal code ndo' sijui kitu gani..Msaada tafadhari

Postal code kitanzania zaidi bado hazina Impact kabisa
Cha msingi ni real location ulipo na P.O BOX
Ila ukifatilia kwenye TCRA website au humu JF tushaweka Document kuonesha ZIP CODE za kila mkoa na wilaya
Use search engine or JF search button

Unapoweka Box ya chuo ni at your own risk
Mwenyewe natumia hilo hilo ila kwa mwanafunzi kuna risk isije baada ya usiku unamfungulia seller case at your own negligency
Go open your own BOX
 
Wasalam wanajf!! Siku kadhaa sasa Nasoma taratibu za kufanya manunuzi mtandaoni kutumia ebay. Katika kusajiri ebay account Kuna baadhi ya vitu sijavielewa mfano address, Postal code. kwa sasa nipo mbali na nyumbani, nasoma chuo kimoja hapa Dodoma. Je, ni naweza kutumia address ya chuo kama njia ya kuupata mzigo na vile vile nitajuaje kama mzigo umefika Dodoma?. Hii postal code ndo' sijui kitu gani..Msaada tafadhari
Kwa nchi kama UK, post code inaelezea sehemu fulani ili uifahamu mfano wa Dar Es Salaam, anwani yako kama wangekua wana system hiyo, ukiwa unaishi eneo kama la Gerezani Dar es salaam, linakua na post code yake, jina la mtaa na namba ya nyumba. Kwa mfano niliotoa kama ingetumika system hiyo anwani ingekua:

Mr XYZ
House No: 119
Sikukuu Street
Ilala
Post Code: NW9 4UW (Hapa kwa code unajua Dar es Salaam Gerezani)
Tanzania

Sijui kama utaelewa kwa mfano huo kwa kifupi TZ hatuna postal Code system.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom