Manunuzi Banggood na Gearbest

Manunuzi Banggood na Gearbest

k2206

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2018
Posts
737
Reaction score
744
Wakuu, kuna shida ambayo ninaipata banggood au gearbest wakati ninapotaka kununua bidhaa Kama simu,tablets,n.k.

Store nyingi haziship kuja Tanzania. Lakini ukibadilisha nchi ukiweka labda USA au UK au German,wanaship.

Je,tatizo liko wapi?
Au Kuna sehemu Mimi nakosea?

Mimi Sina uzoefu wa kuagiza kupitia hizi site. Mimi nimezoea sana AliExpress.
Naomba msaada kutoka kwenu kwa niaba ya wale wote wenye shida Kama yangu.
 
Sio kila site unapotaka kununua wanakua wanatuma nchi za east Africa ni site chache sana wanfanya ivyo
 
Sio kila site unapotaka kununua wanakua wanatuma nchi za east Africa ni site chache sana wanfanya ivyo
Ukiachana na AliExpress,Alibaba,eBay au Amazon,kuna site nyingine labda ambayo umewahi kuitumia ambayo sellers wake wanaship huku East Africa?
 
Ukiachana na AliExpress,Alibaba,eBay au Amazon,kuna site nyingine labda ambayo umewahi kuitumia ambayo sellers wake wanaship huku East Africa?
Ata Ebay bidhaa nyingi huwa hawaleti east africa na hasa zile unazokuta bei nzur unakuta shipping ni Uk na USA so hapo lazma utumie makampun ya forwading kama Shipito, myus nk
 
Back
Top Bottom