Manununuzi kupitia AliExpress Application

Mkuu nitoe tongotongo.... Paypal ni nini na inafanyaje kazi, alipay nayo ipoje cz nmevutiwa sana kutumia hili soko kuhemea bidhaa flani flani... Nielekeze ndugu yangu
Paypal au Alipay ni Makampuni yanahusika ktk kuwalipa seller wa mitandao mbalimbali Paypal ni trusted company zaidi badala ya wewe kuingiza Bank details kila utakapo kufanya Online payments au transaction basi paypal ataingia kati ku assure usalama wa kadi yako ambapo hio Paypal utai link na card yako ya bank usually Master au Visa ukitaka kununua utachagua pay via paypal na kulogin kwa paypal na kuruhusu transaction paypal yeye atakata automatically kutokea kwa kadi yako, Alipay hutumika zaidi na alibaba na aliexpress sina uzoefu nayo ivo mimi niko na Payooner na paypal, Masoko ya mtandaoni ni reliable sana na Vitu viko Cheap na uhakika wa Packages kufika ni mkubwa zaidi Mimi nimefanya Manunuzi ya vitu vingi tu hakuna kilichowahi kupotea vya Bei ya kawaida huwa natumia tu Posta within 30 business days Package zinakuwa ziko posta ready na posta huni alert through text naenda na ID nachukua mzigo kama ni package ndogo huiweka tu ndani ya Box nkienda na key nafungua nachukua Package yangu, nimekuwa addicted na Haya masoko kutokana na uwepo wa Genuine Products i preferred Ebay, Aliexpress na Banggood
 
Live long mkuu
 
Screenshot_20191124-151222.png
Screenshot_20191124-151222.png
 
Hawa nao ni wachina? Maana mizigo haitoki china sasa
 
Back
Top Bottom