meningitis JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 8,464 Reaction score 4,829 Jan 20, 2013 #321 hali ya huyu mkulu inaendeleaje?hajafa tu?
Mchaka Mchaka JF-Expert Member Joined Jul 20, 2010 Posts 4,517 Reaction score 1,428 Jan 20, 2013 #322 meningitis said: hali ya huyu mkulu inaendeleaje?hajafa tu? Click to expand... Mkuu hizi tofauti za kisiasa zisitufanye tuombeane mauti!
meningitis said: hali ya huyu mkulu inaendeleaje?hajafa tu? Click to expand... Mkuu hizi tofauti za kisiasa zisitufanye tuombeane mauti!
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Jan 21, 2013 #323 ni kweli mimi sio msomaji mzuri sana wa bibilia lakini najitahidi hivyo hivyo may be kuna siku nitakua mzuri ktk bibilia
ni kweli mimi sio msomaji mzuri sana wa bibilia lakini najitahidi hivyo hivyo may be kuna siku nitakua mzuri ktk bibilia
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,513 Reaction score 283,998 Aug 30, 2021 #324 Aiseeee!!!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,513 Reaction score 283,998 Aug 30, 2021 #325 PakaJimmy said: Malaria gani hiyo ya kumlaza mtu ICU? Upone haraka kamanda ili uungane na familia yako. Click to expand... Acha ubishi wewe !
PakaJimmy said: Malaria gani hiyo ya kumlaza mtu ICU? Upone haraka kamanda ili uungane na familia yako. Click to expand... Acha ubishi wewe !
kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,622 Aug 30, 2021 #326 Watu wanafukua makaburi
Victoire JF-Expert Member Joined Jul 4, 2008 Posts 25,037 Reaction score 60,222 Aug 30, 2021 #327 Hata hivyo aliishi jamani 2013 mpaka 2021 tena mwishoni.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,513 Reaction score 283,998 Aug 30, 2021 #328 Ndikwega said: Sala za shehe ponda hizi,? Si kamnyima zamana,. Click to expand... πππ
THE BEEKEEPER JF-Expert Member Joined Feb 23, 2024 Posts 1,549 Reaction score 7,523 Apr 30, 2024 #329 Basi Basi kula chuma hicho