Manula out, Okrah out, Okwa out, Chama out

macro

Senior Member
Feb 15, 2019
115
122
Wana lunyasi wenzangu ni kweli wachezaji tajwa hapo juu hawapo kwenye squad ya kumkabili Kagera Leo sababu majeruhi??

Taarifa hizi zinasambaa kwenye hizi zinazoitwa online tv ( rock star tv)

Kama ni kweli daaa hatari sasa hii
 
Wana lunyasi wenzangu ni kweli wachezaji tajwa hapo juu hawapo kwenye squad ya kumkabili kagera Leo sababu majeruhi??

Tarifa hiz zinasambaa kwenye hiz zinazoitwa online tv ( rock star tv)

Kama ni kweli daaa hataree sasa hiii
Usiwe na wasiwasi, sisi ni watoto wa Baba Msomali na mech tumeshaimaliza, ni kwenda kuitimisha hiyo saa 1 usiku pointi zote 3 ni za kwetu!
 
Wana lunyasi wenzangu ni kweli wachezaji tajwa hapo juu hawapo kwenye squad ya kumkabili kagera Leo sababu majeruhi??

Tarifa hiz zinasambaa kwenye hiz zinazoitwa online tv ( rock star tv)

Kama ni kweli daaa hataree sasa hiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…