MANULA OUT KARIAKOO DERBY YA KESHO
Kuna uwezekano mkubwa Aishi Manula akakosekana kwenye derby kesho kutokana na changamoto ya majeraha ambapo huenda akafanyiwa upasuaji wiki mbili baada ya hivi sasa.
Uwezekano mkubwa ni Ally Salum akasimama langoni kesho kutokana na ukweli kwamba Beno Kakolanya ameshamalizana na Singida Big Stars na tetesi zikisema atajiunga nao msimu ujao.
Maoni yangu
Japo Manula angekuwepo tungepigwa ila sio nyingi but kuto kuwepo Manula kichapo heavyweight kinakuja
WANASIMBA Mnasemaje hapa?
@jr_farhanjr
View attachment 2588424
Huyu Manula ni kama anaanza kuogopa derby ........msimu uliopita alisingizia amejikata kidole [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata golini wangekuwemo manula na mwenzake bado hawawezi kudaka mabomu. Saizi wananchi tunarusha mabomu tu
Sisi mashabiki tunamtaka Manula pale langoni.
Natamani urudi kwenye uzi wako [emoji23]Mechi ni nzito kuliko umri wake
Na jana kidogo ijirudieHistoria isyofutika zaidi ya miaka zaidi ya 43 sasa.
[emoji818][emoji1548][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Yanga kesho mle chakula mapema maana mnakufa 2 kwa 0
[emoji1787]Breaking news
𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔
Licha ya kutokuwepo leo kwenye mazoezi Ila Hadi muda huu Kipa mpya wa walima [emoji258] (benno) amezima simu licha ya kufanya nae mazungumzo mara kwa mara leo kuelekea Kariakodabi,,Kila kipa anaogopa mechi hii na wanataka kumwachia mtoto Ally.
Sasa mzee wangu Mangunguu mlikuwa hamjui Kama Kuna dabi wikiendi hii mlikuwa busy na vikao kutelekeza maagizo ya Mwekezaji [emoji16] tu.Poleni sana tena sana kesho asubuhi nitakuwepo na nyie mwanzo mwisho.
NB:Nzala wote Facebook hawamani macho Yao[emoji102] Nawakumbusha tu kesho mechi ni saa 11:00 jioni na siyo saa 1:00 Usiku msikimbie.
Leo tunawabaka yanga, mnabeba ujauzito na mnajifungua subiri muone shughuli ya mnyamaaaaaa
Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.Habari wakuu.
Inaasemekana
Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo wa Leo.
1. Aishi Manura
2. Beno kakolanya.
3. Henock Inonga.
4. Shomary kapombe na
5. Sadio Kanute .
KWA NINI UONGOZI USISEME UKWELI.
UNAFICHA NINI KWA FAIDA GANI????.
NB. HAYA NDIO MADHARA YA UBAHILI WA MO KULETA WACHEZAJI WABOVU. UNAKOSA HATA REPLACEMENT.
MIZIGO IMEZIDI SIMBA.
Sioni nafasi ya Simba kupata ushindi siku ya Leo.
POLENI SANA WANASIMBA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Naona hofu imekujaa kweli kweli mkurugenzi! Imagine wachezaji muhimu kama hao wanakosekana kwenye mechi ngumu kama hii ya leo!
Hivi wakina Mayele si watakuwa wanatetema tu ndani ya dakika zote 99!
Tumeuwekea oxygen [emoji23]Hivi huu uzi bado unapumua bado???? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anauchungulia uzi akiwa uvunguni [emoji23]Huyu bado yupo??au kala nyoya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na kweli walikuwa wanatingisha matiti na makalio.Uliona ule mbinuko wa Diarra. Umetolewa na kutangazwa kwa hisani ya Kibu D.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatutaki.......!!!!! sisi tunataka wote watimie hatutaki visingizio.
Tumeshakpitishaaaaaa Salim wetuu.aliy ni kipa mzuri sana simba wamkubali tu