Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Wakuu leo nataka nikanunue unyunyu wa bei chee elfu5 tu inatosha naomba msaada wenu unyunyu gani wa bei hiyo mkali.. afu kunawatu humu ukiomba msaada wao wanatoka nje ya mada inatakiwa kabla ujacomment ujue sio kila mtu anauwezo wa kununua unyunyu wa milioni mi uwezo wangu umeishia hapo.!
 
Kama uwezo wako umeishia hapo mkuu fanya kama mimi. Situmii unyunyu na maisha yanaendelea poa tu. hiyo elfu tano nunua sabuni uvae nguo safi, pia nunua sabuni ya 2000 ya kuogea uache kuogea sabuni xa kufulia kanzu.
 
mkuu ivyo vyote ninavyo bado unyunyu tu
 
Terre D Hermes -smart collection.Sema fake hizi zina mafua balaa.
 
Siku hizi Kuna watu wananunua chupa tupu ukimaliza kutumia pafyume
Halafu wanaenda jaza na sindano maji na harufu inakuwa pafyume
Mnaopenda kununua vya rahisi na barabarani Ndio mnapigwa feki bila kujijua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…