Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Tumia emotion mkuu ni nzuri sana naitumia huu ni mwaka wa nane
 
royale by rasasi 35000
blue by rasasi 30,000
ocean by lonkoom(100mls) 20,000
forever by lonkoom (100mls) 20,000
sitti al habaieb (100mls)30,000/= 8181 men (30mls)13000/=

0626309195
 
Karibu me nauza perfume nzuri tu na Og kwa jinsia zote mbili na niko na offer ya bei kwa punguzo la bei hadi 30%.. Ukihitaji kuziona wasiliana na mimi watsapp kwa simu nambae0672416294.
 


Kwa mwanaume perfumes hizi hapa, possess ndio kiboko kabisa. Ina harufu imetulia sio kali na haikeri wala kupalia...

Karibu tuwasiliane ukihitaji perfumes original za kike na za kiume kutoka Sweden 0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wengi waongo humu ndani. watakupoteza tu. wanatafuta majina ya designer mbalimbali wanajidai ndo wanatumia perfumes hizo na wakati asilimia 90 si kweli wanapotosha. we nenda duka la perfume. waambie nina tsh 50,000 naombeni mnioneshe perfume ambazo zinaenda na bei hiyo. watakuoa utajaribu utachukua unayoipenda. hapa wengi watakudanganya danganya tu hamna kitu cha maana utapata.
 
Wewe unatumia ipi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…