kwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo,
Ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha.
Mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding.
Real men use three pedal
Nyie ndo mnatembea mmejivika mashuka mjini huku pumbu zinaninginia,kuoga hamtaki mnanuka kikwapa kisa eti mnadunusha utamaduni wa mababu zenu wa zama za mawe.Hasa tanzania ndo zimezidi hzi auto, mbona uingereza wenzetu ni manual tuu! Eti bongo kuna foleni ndo, manual inaleta usumbufu... Ndugu yngu kwa uvivu huu hatutaweza kujitawala kamwe. The real men uses three pedel!
hehehehe ndio mkuu nimekulia maisha magumu, ila mtoto wa kiume kutojua manual kunatia mashakaMkuu unaonekana umekulia kwenye maisha magumu.
Bado huamini katika maisha ya neema
Kwa masikini hiyo ndio raha.Aaah Manual ukiendesha unapata raha ya gari.
Kweli kabisa aisee ukiendesha manual safari ndefu utaona hiloanashindana na wakati
mimi ni dereva mzuri wa manual but i hate manual napenda Automatic huchoki safari
acha uongo wako wewe mtuKweli kabisa aisee ukiendesha manual safari ndefu utaona hilo
Mkuu nishaendesha vimeo kama hivi sanaaHii ndio manual halisi. Ukila chips lazima ukimbie gari.View attachment 954332
Manual gear lazima utulize kichwa unakutana na kimeo gia zinagoma kuingia au namba 2 haipatikani.Mkuu nishaendesha vimeo kama hivi sanaa
Acha tu mkuu,unakuta gia zimepandiana na unazitegemea kama breki aisee balaa,tumetoka mbali sanaManual gear lazima utulize kichwa unakutana na kimeo gia zinagoma kuingia au namba 2 haipatikani.
Mzee Baba unaejiita Real Men, kipimo cha kuwa Real ni kujua kuendesha Gari yenye Manual transmition?????[emoji15] [emoji216] Na kwahiyo unataka kusema kuwa WASIOJUA EITHER OF THE TWO. NI WANAWAKE!??? MAANA KUNA WANAUME WASIOJUA HATA KAMA HUWA KUNA PEDAL 2 AU 3 !? CHUNGA SANA EEEEBOOkwakweli kama wewe unaendesha gari ndogo automatic na gari yenye gear ya manual huwezi hata kuwasha, basi jua wewe si dereva bali ni msindikizaji, haswa kwa sisi wanaume unakuta dume zima lakini ukimwambia awashe gari yenye mfumo wa manual transmission hawezi, jua kabisa katika kundi la madereva wewe haupo,
Ukienda arusha unakuta dada anaendesha manual transmission hadi raha halafu wewe kidume hata ukipewa funguo huwezi kuwasha, na wakina dada mnaoendesha magari yenye mfumo wa automatic yaani nyinyi ndio vilaza kabisaaa na siwezi kuwakalia karibu endapo nitagundua mwanamke ndio a aendesha.
Mwanamke anaendesha auto she always a learner no matter how long she have been riding.
Real men use three pedal
Zimpige chenga zisimpige chenga we are all EXPENDABLESmkuu manual zinakupiga chenga nini?
Mbona povu sanaMzee Baba unaejiita Real Men, kipimo cha kuwa Real ni kujua kuendesha Gari yenye Manual transmition?????[emoji15] [emoji216] Na kwahiyo unataka kusema kuwa WASIOJUA EITHER OF THE TWO. NI WANAWAKE!??? MAANA KUNA WANAUME WASIOJUA HATA KAMA HUWA KUNA PEDAL 2 AU 3 !? CHUNGA SANA EEEEBOO
hehehe hapana nduguFalcon naona umeamua kututukana sasa....
inaitwa die hardnyie wenye auto gari ikifeli brake mnachukuaga hatua gani au ndo kufa kidigitali