falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,223
- 9,345
Nunua kufuli..jero tuu..unapewa na funguo tatu..Daaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.
washakujaSawa mkuu..ngoja wahusika waje
mamboDaaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.
mkuu manual zinakupiga chenga nini?huyu Jmaa fala kweli
Manual transmission zinaaanza kufa sasa hivi ni Automatic ndio zimetawala
Check Scania hizo R series zote ni Auto usikariri maisha. mjomba zile Landrover 108 ni mateso tuuu
hapana blazaFalcon naona umeamua kututukana sasa....
mkuu manual zinakupiga chenga nini?
Gari zpo manual ila bei yake n juu kulinganisha na automatic.. Na pia nwdays watu hawapend manual ndio mana nyng unakuta n automatic hawapend usumbufu[emoji622]halafu sidhani kama kuna gari ndogo zinatoka ambazo ni Manual. transmission kwa sasa
kama ipo ipo nitafutie IST manual mkuuu
Usijali ukija kwangu ukija kwangu ntakupa ufunguo wa maishaDaaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.
Daaah,.mie ambae sina hata funguo salamu utanipa kweliiii??? Aiseee life is not fair kabisa kabisaaa.
Manual haziwezi kupotea hasa kwenye gari kubwa na ngumu kama Land Cruiser Hardtop, Hilux, Land Rover Defender na nyingine kama hizo.mimi ni dereva mzoefu sana
ila ndio hivyo manual zinaanza kupotea potea
Manual haziwezi kupotea hasa kwenye gari kubwa na ngumu kama Land Cruiser Hardtop, Hilux, Land Rover Defender na nyingine kama hizo.