Mansa Musa The Movie

Manyawera

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
567
Reaction score
1,110
Muandishi na muongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani, kijana mweusi Bw. Ryan Coogler akishirikiana na muigizaji Michael B Jordan. Wamekuja na wazo la kutengeneza filamu itakayohusu maisha ya mfalme maarufu na tajiri kutoka Afrika Mansa Musa. Coogler na Jordan wamekuwa wakifanya kazi pamoja toka 2013. Kazi yao ya kwanza pamoja ilikuwa Fruitvile Station, ikafuatiwa na Creed na hivi punde walifanya kazi pamoja katika filamu ya Black Panther.

WADAU WA FILAMU HII MNAIONAJE??
 
Marekebisha.

Mansa inamaana mfalme. Hivyo in English its King Musa.

Tena Musa nilikua family/Dynasty name. Waflme wote Mali baada ya familia ya Keita wakaja familia ya Musa hawa wote walikua wanamajina ya surname Musa. Mfano Mansa Kankan Musa. Yaani Mfalme Kankan Musa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…