Ina majina mengi sababu ya nguvu yake, huna hii basi pia huna confidence ya mambo karibu yote ufanyayo hapa duniani.
Heshima ya binadamu inatokana na hii kitu; ndoa zinaimarika ama kuvujika sababu ya hii kitu; familia zinajengeka ama kusambaratika sababu ya hii kitu.
Pesa
Ngawila
Mkwanja
hela
fedha
Mapene
Mshiko
Chapaa
Umatemate
Manoti
Madolari
Mafaranga
Mafuba
Njururu
Mzigo
Uchumi
Kisu
Shekedi