Niko kwenye inbox yangu naisubiria PM yako ya kwanza niibusu.
ah ah! Una wivuu... alafu kwanini ulifunga? Ujue mie nilikuta eeeh!
mi wala wivu sina
mitege ka Bishanga
anatoka kwenye gulio katerero!!!!!
Labda anataka kifanyio
nitake nini manoah?
mitege au?
akuu staki kitu!
kweli kabisa utaki? Leo ni j.4 nguvu haito tumika sana shemeji yangu mpenzi
shem una maneno
ya kichokozi duuuh!
kama kawa kama dawa mzee wa kifanyio