Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Status
Not open for further replies.
ha ha ha ha..kilimo kwanza oyeeeee
Wallah leo lazima nikununulie Voucher Mpwa wangu...sio vocha ya simu ni voucher ya pembejeo za kilimo
 
mapendo yenu 'yamejengwa juu ya mchanga..
No No No huwa na mimi akibanwa sana namruhusu kidogo ndio maana, kama huamini ngoja tu-test
 
Wallah leo lazima nikununulie Voucher Mpwa wangu...sio vocha ya simu ni voucher ya pembejeo za kilimo

nitashukuru mpwa Elli.. ila fanya mpango tubadilishiwe yule ofisa ugani.. maana anakula voucher zenyewe yeye.. nyingine anakuja kuziuza mjini anajidai ati ni voucher za cimu..
 
Last edited by a moderator:
Afisa ugani wenu ndio huyo mimisa? au ni MANI?
nitashukuru mpwa Elli.. ila fanya mpango tubadilishiwe yule ofisa ugani.. maana anakula voucher zenyewe yeye.. nyingine anakuja kuziuza mjini anajidai ati ni voucher za cimu..
 
Last edited by a moderator:
Bishanga and me for life

Ole wako uniache The secretary,siku hiyo ntafakamia mkorogo wa flagyl,safari lager,sumu ya panya,kimpunyu,nyongo ya mamba na thiodan kisha tuone utapata wapi mwingine kama Bishanga.
Kopi: Kongosho........niandalie hii concoction naona C.T.U anaingilia anga zangu kisa kanunua kiwanja dubai.
 
Last edited by a moderator:

hiyo ya mtoto acid ndo mpango mzima
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha.. mkwala mbuzi huo Bishanga..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…