Manka anatafuta mchumba wajameni

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Much LUV all
 

Attachments

  • IMG_2325182154071.jpeg
    35.1 KB · Views: 239
  • IMG-20141023-WA0006.jpg
    48.1 KB · Views: 573
Hapo hapati hata wa kumbip aiseeee
 
Hahahaha daah huyo ndo bure kabisa si abandike hayo matangazo yake karibu na bank au saccos
 
Kama naona watu watakavyopiga hizo number......lol
 
loh! Manka, mil. 15 ulifanyia nini?

"lakini kule MMU wapo wakukusaidia kulipa!"
 
Mbona nikipiga hyo namba naambia "SAMAHANI JARIBU TENA MWISHO WA MWEZI" ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…