Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,623
Manji usisubili hadi tukuvue uanachama rudisha kadi ya chama chetu umetuzalilisha sana kwa haya yaliyotokea inatosha sasa usisubili mpaka tukuvue uanachama rudisha kadi ya chama chetu
Sisi hatuwezi kuanza kukusafisha hatuna itikadi hiyo kama ya wale wachumia tumbo ambao hawana hata huruma kwa vijana wa taifa hili ambao wametumia gharama kubwa sana kumusafisha bwana wao
Rudisha kadi yetu sisi sio wa bei hiyo kwanza huna adabu kabisa huwez kumutukana mkuu wetu wa mkoa afu sisi tukuchukulie poa sisi siyo wa namna hiyo