Peleka huo ushaidi wako polisacha ujinga hujui manji anafadhili mambo ya kibiti na rufiji kwa mbaali.usidhani serikali haioni. Mbona watu wengi wanakamatwa kwa waizi kama wale wa escrow kwani wanatofauti gani na manji.
Mengi ni la uwt na ManjiKwani lile jengo la airtel ni la manji
Alimwambia DABHaya maneno alimwambia dereva au MAKONDAkta wake?
Mwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.
Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.
Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Kampuni kauza tayari na ana mpango wa kusepa
Manji hawezi kuwa supplier military equipment bali anajikuta (kwa sababu ya kuwa kwenye mitandao ya wahalifu wa kimataifa) akipewa majuku ya kuunganisha biashara ya dirty arms trade fixers (smugglers) kwa junk payments.Hili la kuuza military ware kwa waasi wa Somalia, Burundi, Uganda, Congo DR na Mali is news to me. To be honest, hata hilo la kuwa supplier wa Tz military uniforms sikuwa nalifahamu. Je unamaanisha alitumia nafasi hiyo kuagiza silaha za kuwauzia hao waasi? Maana kiukweli hizo nchi ni landlocked, so lazima wapitishie bandari za hapa east Africa more likely