Manji na Malinzi kolikoli

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
mw/kiti wa Yanga Yusufu manji ameweka wazi TFF inavyoihujumu Yanga na amemwambia kama Tff wanasimamia tiketi za mechi za kimataifa ijiandae na kughalamikia kambi usafiri wa nje na ndani.
swali kama Yanga inataka kuweka kambi marekani TFF ya Malinzi inauwezo wa kulupa?
 
Hapa ndipo utauona uzuzu na upumbavu wa malinzi. Ngoja tuone nini kitafuata.
 
Yaonekana viongozi wa TFF wanajiona ni viongozi wa Yanga. Klabu inayokiuka taratibu zilizowekwa inachukuliwa hatua, sasa kama TFF (Yanga B) ikicheza na pakawa na fujo uwanjani nani ataadhibiwa na CAF?
 
"Ukicheza na mbwa atakufuata msikitini " tiefuefu iliwadekeza sana Yeboyebo na sasa wacha wakione cha moto
 
Kama ulienda kungalia mechi bure na wewe sio yanga au mtanzania anaependa nchi kwanza heri unyamaze tuu kwa sababu inaonekana una chuki kwa yanga na sisi tutakusamehe.
 
Back
Top Bottom