Manji hali tete

NAONA MPANGO WA KUWABADILISHA MALAIKA KUWA MASHETANI UNATEKELEZWA

TUNASUBIRI FAIDA ya mpango huo.
 
Inaoneka wew ndiye umeshika file lake kiupelelezi ndio maana unayajua yote hay
 
Manji tatizo lake alianza kuifadhili na CHADEMA.

Hicho ndicho kilichomponza akaingia katika reli zao.

So sad.

Sent from my Kimulimuli
 
Kwakweli kila goti litapigwa I see... Manji wa kufikia hali hii???


mzee mzima haishiwi maneno
 
Ukimuangalia manji wa enzi zile halafu ukamfananisha na huyu wa sasa hivi...tofauti utakayopata is direct proportional kwa roho mbaya ya mtu fudenge...sasa leo ni manji..who is next...tafakari......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipotajwa kwenye sakata la unga,ndio nilifahamu kuwa pesa na akili ni vitu viwili tofauti,jamaa aliropoka mambo ya hovyo bila kujua anajichoresha na kujianika,ilikuwa inatosha Kwa yeye kujikalia kimya kama mjinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh.. jinsi alivyo kwasasa unaweza kupishana nae njiani usimjue..
 
Ivi huko mahabusu hairubusiwi kunyoa ndevu ?

Hayo mambo ni kawaida katika maisha ya binadamu kuna wakati wa furaha na wakati wa huzuni.
Kuna siku yataisha.

Hebu mkumbusheni kunyoa ndevu, maan sura inatisha.
 
Ivi tutakuja kuingia mpirani bure tena ?

Sisi wa Soka tunamkumbuka manji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…