Manispaa ya Ubungo yatoa kazi za billion 4 kwa wakandarasi, Mikataba yasainiwa hadharani

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
16,650
2,000
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe. Boniface Jacob mapema Leo 9/6/2017 amesaini mikataba 30 na wakandarasi mbalimbali walioshinda tenda katika Manispaa hizo ikiwa ni miezi nane tangu kuanzishwa kwa Manispaa hiyo.

======

MANISPAA YA UBUNGO YATOA KAZI ZA BILLION 4 KWA WAKANDARASI

Leo tarehe 9 mwezi wa Sita, Mstahiki meya wa halmshauri ya manispaa ya Ubungo Mh. BONIFACE JACOB, Amengia mikataba ya kazi mbali mbali na makampuni ya ujenzi, barabara na wazabuni 29.
b7c3dc1b-dd51-4db5-ac6b-07288406ab95.jpg

Makampuni hayo yalisainiana mikataba mbele ya waandishi wa habari na watu mbalimbali waliofika kushuhudia tukio hilo la aina yake ambapo jumla ya mikataba 29, ilisainiwa na wakurugenzi wa makampuni mbalimbali,ambapo kati ya hayo makampuni 14 yamepewa kazi za billioni 3.2 kwa kazi ya kusafisha barabara na mazingira yote ya halmashauri ya manispaa ya ubungo ili kuifanya halmashauri ya ubungo iwe safi na yenye kuvutia.

Fedha za kiasi cha shillingi Millioni 400 ni kwa ajili uchongaji wa barabara za mitaa mbalimbali ya halmashauri ikiwemo ile maarufu ya Watani makaburini(MAKURUMLA) na Millioni 200 Ni kwa ajili ya Miradi ya upelekaji wa maji katika kata za Mbezi na Mabibo.

Kiasi kingine cha shillingi Millioni 200 no kwa ajili ya Ukarabati mfumo wa maji Hospitali ya Sinza na ujenzi madarasa ya shule ya sekondari ya Matosa (GOBA)na nyumba za walimu 6 hukohuko Matosa (GOBA).

Aidha mkurugenzi wa halamshauri aliwataka wakandarasi na wazabuni kufanya kazi zao kama masharti ya mikataba inavyotakana kwa uamanifu mkubwa.

Kusaini mikataba hadharani na mbele ya wananchi ni utekelezaji wa uwajibikaji na uwazi katika halmashauri ya manispaa ya ubungo.

Imetolewa na
OFISI YA MSTAHIKI MEYA.
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO.
KIBAMBA HQ

Video
 
Mhere Mwita

Verified Member
Jan 24, 2012
234
1,000

Leo tarehe 9 mwezi wa Sita, Mstahiki meya wa halmshauri ya manispaa ya Ubungo Mh. BONIFACE JACOB

Amengia mikataba ya kazi mbali mbali na makampuni ya ujenzi, barabara na wazabuni 29.

Makampuni hayo yalisainiana mikataba mbele ya waandishi wa habari na watu mbalimbali waliofika kushuhudia tukio hilo la aina yake ambapo jumla ya mikataba 29, ilisainiwa na wakurugenzi wa makampuni mbalimbali,ambapo kati ya hayo makampuni 14 yamepewa kazi za billioni 3.2 kwa kazi ya kusafisha barabara na mazingira yote ya halmashauri ya manispaa ya ubungo ili kuifanya halmashauri ya ubungo iwe safi na yenye kuvutia.

Fedha za kiasi cha shillingi Millioni 400 ni kwa ajili uchongaji wa barabara za mitaa mbalimbali ya halmashauri ikiwemo ile maarufu ya Watani makaburini(MAKURUMLA) na Millioni 200 Ni kwa ajili ya Miradi ya upelekaji wa maji katika kata za Mbezi na Mabibo.

Kiasi kingine cha shillingi Millioni 200 no kwa ajili ya Ukarabati mfumo wa maji Hospitali ya Sinza na ujenzi madarasa ya shule ya sekondari ya Matosa (GOBA)na nyumba za walimu 6 hukohuko Matosa (GOBA).

Aidha mkurugenzi wa halamshauri aliwataka wakandarasi na wazabuni kufanya kazi zao kama masharti ya mikataba inavyotakana kwa uamanifu mkubwa.

Kusaini mikataba hadharani na mbele ya wananchi ni utekelezaji wa uwajibikaji na uwazi katika halmashauri ya manispaa ya ubungo.

Imetolewa na
OFISI YA MSTAHIKI MEYA.
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO.
KIBAMBA HQ
 
chuuma

JF-Expert Member
May 19, 2015
349
500
Leo tarehe 9 mwezi wa Sita, Mstahiki meya wa halmshauri ya manispaa ya Ubungo *Mh. BONIFACE JACOB*

Amengia mikataba ya kazi mbali mbali na makampuni ya ujenzi, barabara na wazabuni 29.

Makampuni hayo yalisainiana mikataba mbele ya waandishi wa habari na watu mbalimbali waliofika kushuhudia tukio hilo la aina yake ambapo *jumla ya mikataba 29*, ilisainiwa na wakurugenzi wa makampuni mbalimbali,ambapo kati ya hayo makampuni 14 yamepewa kazi za *billioni 3.2* kwa kazi ya kusafisha barabara na mazingira yote ya halmashauri ya manispaa ya ubungo ili kuifanya halmashauri ya ubungo iwe safi na yenye kuvutia.

Fedha za kiasi cha shillingi *Millioni 400* ni kwa ajili uchongaji wa barabara za mitaa mbalimbali ya halmashauri ikiwemo ile maarufu ya Watani makaburini(MAKURUMLA) na *Millioni 200* Ni kwa ajili ya Miradi ya upelekaji wa maji katika kata za Mbezi na Mabibo.

Kiasi kingine cha shillingi *Millioni 200* no kwa ajili ya Ukarabati mfumo wa maji Hospitali ya Sinza na ujenzi madarasa ya shule ya sekondari ya Matosa (GOBA)na nyumba za walimu 6 hukohuko Matosa (GOBA).

Aidha mkurugenzi wa halamshauri aliwataka wakandarasi na wazabuni kufanya kazi zao kama masharti ya mikataba inavyotakana kwa uamanifu mkubwa.

Kusaini mikataba hadharani na mbele ya wananchi ni utekelezaji wa uwajibikaji na uwazi katika halmashauri ya manispaa ya ubungo.

*Imetolewa na*
*OFISI YA MSTAHIKI MEYA.*
*HALMASHAURI YA* *MANISPAA YA UBUNGO.*
*KIBAMBA HQ*
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,945
2,000
Huyu Meya namkubali sana.
Very well organized.
Sio mtu wa hovyo kama Bashite
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom