Manispaa ya Bukoba: Mwaliko wa Kushiriki Mkutano wa Kimaendeleo

Dec 10, 2015
22
70
10264191_1069605523090251_6187846033197411721_o.jpg
 
Nimeona tangazo Lwakatare kamualika Rugemalira aliyemuhonga Tibaijuka bilioni bilioni moja ya mboga.

Lowasa kawaambukiza ufisadi Chadema wote sasa hivi wamekuwa kama ukoo wa panya baba mwizi,mama mwizi na watoto wezi.

halafu Muhongo hamtaki awe waziri.
 
Nakubaliana na kongamano na kubadilishana mawazo, lakini sherehe hapana. Kwa hali ya umaskini tuliyo nayo tunasherekea nini? Hiyo shs 50,000 uliyosema 3wachangie si ikanunue vitanda government hospital wodi ya wazazi ?
 
Nimeona tangazo Lwakatare kamualika Rugemalira aliyemuhonga Tibaijuka bilioni bilioni moja ya mboga.

Lowasa kawaambukiza ufisadi Chadema wote sasa hivi wamekuwa kama ukoo wa panya baba mwizi,mama mwizi na watoto wezi.

halafu Muhongo hamtaki awe waziri.
Report ya PAC inaonyesha huyu mzee alilipa Kodi na ile pesa ilikua halali Kwann mnasema ni Fisadi?
Coz aliuza share zake
Na huko Bukoba si nikwao acha arudishie wananchi alichochuma kihalali na pia ambazo sio halali
 
Mimi nadhani Lwakatare anawashauri wa ovyo kabisa, unasherekea nini wakati Magufuri analilia kusitisha utumiaji wa ovyo wa pesa? kwanini ulenge watu fulani ndo wachangie maendeleo wakati maendeleo ni ya watu wote? Lwakatare ameanza kuonyesha udhaifu mkubwa kwa wapiga kura wake!
 
Ni kongamano la kuchangia mawazo jinsi ya kuleta maendeleo Bukoba mjini....hakuna aliposema anasherehekea..
Pia wamealikwa wana Kagera wote na Rugemarila ni mwanaKagera.
 
Report ya PAC inaonyesha huyu mzee alilipa Kodi na ile pesa ilikua halali Kwann mnasema ni Fisadi?
Coz aliuza share zake
Na huko Bukoba si nikwao acha arudishie wananchi alichochuma kihalali na pia ambazo sio halali

Habari ya zanzibar kaka
 
Tatizo la Bukoba ni Waziba. Yaani hawa watu hawapendi watu wa maeneo mengine na ndio hawa waliosababisha wahaya kuchukiwa na mengine mengine.
 
Nimeona tangazo Lwakatare kamualika Rugemalira aliyemuhonga Tibaijuka bilioni bilioni moja ya mboga.

Lowasa kawaambukiza ufisadi Chadema wote sasa hivi wamekuwa kama ukoo wa panya baba mwizi,mama mwizi na watoto wezi.

halafu Muhongo hamtaki awe waziri.
Duh! Hapa kama ukoo wa panya, pamenichekesha sana
 
Anairudisha pamoja na mafisadi huku wanakunywa wine na rubisi.

mkuu, mbona Mwigulu Nchemba aliwasafisha na wameishalipa kodi halali ya serikali? kwani pesa haramu zinalipiwa kodi? acha kujitoa akili mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Nimeona tangazo Lwakatare kamualika Rugemalira aliyemuhonga Tibaijuka bilioni bilioni moja ya mboga.

Lowasa kawaambukiza ufisadi Chadema wote sasa hivi wamekuwa kama ukoo wa panya baba mwizi,mama mwizi na watoto wezi.

halafu Muhongo hamtaki awe waziri.
Hivi wewe kila kitu ni kutukana tu lwakatare siyo yule mzee wenu mzee wa migogoro lukuki hadi BUKOBA inakuwa kama jalala, hata hivyo Rugemalira ni mfanyabiashara siyo fisadi, maana ya fisadi linatokana na kuiibia serikali, yeye hakuiibia alichukua alichojitengenezea hapo awali na JK nyakati za IPTL Movie
 
Back
Top Bottom