Manispaa Ilala yanyang’anywa TSh 3 bilioni ya Uboreshaji wa Machinjio ya Vingunguti

sio kweli kuwa wilaya ya ilala imeshindwa kuzitumia,ila kuna kitu wanaficha,all in all who is affected by that decision?
 
sio kweli kuwa wilaya ya ilala imeshindwa kuzitumia,ila kuna kitu wanaficha,all in all who is affected by that decision?
Yani atakama una kaofisi kako binafsi ukaomba ufadhili sehemu fulani ukapewa hela uanze utakelezaji wa mradi alafu ukashindwa kufanya siku wale waliokupa pesa wanakuja kukutembelea waone umeikia hatua gani katika utekelezaji wako alafu wanakuta hakuna ulichofanya ata kimoja na hela umeshapewa miezi 10 nyuma! Aisee wanaichukua hela yao.
pesa nyingi za wafadhili zinarudishwa kwa stahili hiii.

Jaffo tu alitangulia kuwapa onyo manispaa ya ubungo juuu ya ujenzi wa stand mpya ya mabasi wakashtuka lakini bila hivyo nao wangenyang'anywa na serikali bilion 50 zote..! Sasa we ni mpuuzi wa kiasi gani? unapewa Bilion 50 jenga stand we unaweka bank sijui wanajua watasahau ama vipi!
 
Back
Top Bottom