Manin'g nice yafungiwa leseni ya usafirishaji

Manin'g nice yafungiwa leseni ya usafirishaji

Murji mbunge wa mtwara mjini ameshafanya vitina ya kibiashara hapo sasa mabasi yake ya Machinga yatapata abiria wa kutosha
 
Kama fitina ndio hiyo na wananchi wamegundua ni vema, wanayapiga chini na kupanda mengine mbona yapo mengi tu? Kama lilivyopigwa chini gazeti la uhuru na mzalendo na jambo leo.chezea nguvu ya uma weye!!!!
 
Chanzo sio ajali, kutakuwa na sababu nyingine tu. Ingekuwa ni ajali zingefungiwa kampuni ngapi?
 
Lakini mkuu hadi tarehe 22.3.2014 zilikuwa zina operate kati ya dar na mtwara
 
Naona wanamwekea mazingira ya biashara mbunge wa Mtwara mjini kwani ndio mmiliki wa mabasi ya Machinga na mshindani wake ni Manning Nice na Hamanju.

Machinga ndio basi lenye watumishi wasio na elimu na wapuuzi kuliko wapiga debe wa kwa Azizi Ally. Na jeuri hii ni sbb mabasi yao hayakamatwi

Naunga mkono hoja....ni thithiem tu kazini...lipate ajali gari moja uzuie magari kumi na moja km si wazimu ni nini...
 
Yaani we acha tu. HOOD BUS tangu mwaka hhuu uanze limechinja mara ngapi ? Inaoneka wenye Hood wanajua kula na Kipofu sutra. Maning Ice mnakula peke yenu basi na msiba huu wa kufungiwa ni wenu peke yenu.

Mkuu

HOOD, SHABIB pamoja na ABOOD ni mabasi ya vigogo serikalini, hakuna wa kuyagusa.

kuna wakati ABOOD ilipachikwa jina "Chinja Chinja" lakini halikufungiwa hata basi moja.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sumatra imeifungia leseni ya usafirishaji kampuni ya mabasi ya Manin'g nice inayofanya kazi za usafirishaji kwa mikoa ya Mtwara na Lindi kuelekea Dsm.
Inasemekana chanzo ni ajali ya moja kati ya mabasi yao lililopata ajali Tarehe 19 mwezi huu mkoani Lindi.
Mwenye maelezo au ufafanuzi zaidi juu ya hili unaweza ukalifafanua zaidi.
Mnakaribishwa.

safi sana bila shaka itakuwa fundisho kwa wamiliki wengine wa mabasi wazembe kama huyu
 
Ajali yao ilihusisha na bodaboda ambayo nadhani mwendesha bodaboda na abiria wake walipoteza maisha.
Sijajua hasa nani au nini ni chanzo cha ajali yenyewe.

chanzo ni bodaboda,wanajifunza vichochoron huko then wanaingia main road hata sheria za usalama hawajui
ila kufungia leseni kama ni kweli basi ni uonevu..,
 
Kama fitina ndio hiyo na wananchi wamegundua ni vema, wanayapiga chini na kupanda mengine mbona yapo mengi tu? Kama lilivyopigwa chini gazeti la uhuru na mzalendo na jambo leo.chezea nguvu ya uma weye!!!!

Hayo mengi mangapi zaidi ya hamanju na Buti la zungu tu mengine yanasuasua tu
 
Lakini mkuu hadi tarehe 22.3.2014 zilikuwa zina operate kati ya dar na mtwara

Sio tarehe hiyo tu rafiki yangu alikata lakuondoka leo, asubuhi ya leo wakabadikishiwa na kupewa 5Alliance baada ya Maning nice kufungiwa
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Back
Top Bottom