manicure inaweza kukuambukiza HIV?

manicure inaweza kukuambukiza HIV?

Me ku share hivo vitu siwezi,,,,,, na hiyo kitu sifanyi nina set yng siku nikiwa muda wa kutosha nafanya mwnyw au mtu ananifanyia kwa vifaa vyangu........
 
Ukienda kufanya manicure popote ni muhimu kwenda na set yako. Vifaa hata sio bei ghali ni uvivu wa wa Tz na kutokuelewa.
 
na hizi mashine za kunyolea nywele saloon vp? kwamtindo huu hakuna atakaye salia
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    337.3 KB · Views: 410
  • image.jpg
    image.jpg
    496.7 KB · Views: 365
  • image.jpg
    image.jpg
    609.2 KB · Views: 358
na hizi mashine za kunyolea nywele saloon vp? kwamtindo huu hakuna atakaye salia
hii inategemea na umakini wako na pale unapochagua unyolewe!!
Au hata nenda na mashine yako binafsi itakuwa poa🙂
.
Mfano mzuri unaupata kwa huyu binti kiziwi na tinna cute
Eti wao wana set zao za kufanyiwa manicure😉
Ukienda kufanya manicure popote ni muhimu kwenda na set yako. Vifaa hata sio bei ghali ni uvivu wa wa Tz na kutokuelewa.

Me ku share hivo vitu siwezi,,,,,, na hiyo kitu sifanyi nina set yng siku nikiwa muda wa kutosha nafanya mwnyw au mtu ananifanyia kwa vifaa vyangu........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom