Ernesto Guevara JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 5,088 Reaction score 11,548 6 minutes ago #2 Idugunde said: View attachment 3718372 Click to expand... Bila shaka Mwenyekiti atakuwa ni Swedy Mkwabi. Kwasababu ana base kubwa ya wanachama. Na pia alishawah kuchaguliwa na kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Simba 2018, na mwaka 2019 akajiuzulu . Lakin pia alikuwa kwenye Bodi ya upande wa wawekezaji ya wakina Mo na Magori (49%) na ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano. Kwahiyo ana kubalika pande zote 2.
Idugunde said: View attachment 3718372 Click to expand... Bila shaka Mwenyekiti atakuwa ni Swedy Mkwabi. Kwasababu ana base kubwa ya wanachama. Na pia alishawah kuchaguliwa na kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Simba 2018, na mwaka 2019 akajiuzulu . Lakin pia alikuwa kwenye Bodi ya upande wa wawekezaji ya wakina Mo na Magori (49%) na ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano. Kwahiyo ana kubalika pande zote 2.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 44,040 Reaction score 105,924 1 minute ago #3 Simba itarogwa mpaka ikome 😹