Naona 5/11 inaanza kujirudia. Makolo wajiandae sana kisaikolojia kwani mchezo huo utawapa mfadhaiko mkubwa sana wa moyo. Wanakumbana na Yanga yenye hasira na iliyopania kweli kweli. Chama atafunga bao moja, Mzize Bao mbili, Prince bao mbili, na Max bao mbili. Zote zifaungwa kipindi cha pili.