environmental
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,054
- 137
uwongo umefika mwisho sasa hivi.Ndio maana wamekwisha kabisa huruma ccm imepotea machoni mwa watanzania
Baadhi ya wanaCCM
tuliamini kuwa kurudi kwa Philips Mangula katika medani za juu za
uongozi wa CCM kungeleta mwamko mpya, mabadiliko makubwa na hamasa
kubwa kwa CCM, lakini hali imekuwa tofauti kabisa.
Mangula hana kazi yoyote ya maana ambayo amefanya ndani ya CCM mpaka
sasa, lakini pia kifikra na kujieleza Mangulla amechoka sana kama
tulivyomshuhudia jana kwenye runinga wakati wa mjadala wa kipindi cha
Uzalendo.
CCM ndani kwa ndani tumechoka mno na kwa nje tunazidi kuchokwa zaidi.
Binafsi sioni hatua zozote za maana zinazofanywa na viongozi wa juu wa
CCM hususani Philips Mangula kunusuru hali hii.
Je, hali hii inaashiria kwisha kabisa kisiasa kwa Mangula?
uwongo umefika mwisho
sasa hivi.Ndio maana wamekwisha kabisa huruma ccm imepotea machoni mwa
watanzania
hivi SAID ARFI, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefanya nini tangu achaguliwe. me nadhani ni makosa kuhoji kazi za makamu mwenyekiti wakati mwenyekiti mwenyewe yupo
mkuu, ni makosa kabisa kuamini kuwa ccm haikubaliki na watanzania wengi. uchache wenu humu jf usiwape kiburu kuwa huko nje pia mnavuma
Hao ndio wazee ambao Nape alisema wanajiandaa kufa
hivi SAID ARFI, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, amefanya nini tangu achaguliwe. me nadhani ni makosa kuhoji kazi za makamu mwenyekiti wakati mwenyekiti mwenyewe yupo
Sijui kilichompata Mangula but whatever it is isn't good at all for CCM. Contrary to everybody's expectation Mangula so far has taken only single notable action: marrying. I am so disappointed with him. A man who got appointed to restore hope, clean the party and reinforce patriotism and discipline as reduced himself to nothing, leaving his fans (I included) with some unanswered questions.
He needs to wake up before we judge him failure. The party got some outstanding issues and he can't keep us on hold anymore. Enough time he got to organize his team and get back to work on people's expectation. Mangula, of all the new party leaders owes us some serious party cleanups. Yes, top-down type of cleanups. We praised his appointment because we trusted he was the much needed therapy to the ills of the party but now he gives us reason to think his therapy, if any, is as less effective as placebo or that of babu wa Loliondo.
Strangely people still believe in Mangula's ability to bring good change and direction to the party. As that isn't enough they believe he is going to do today if not tomorrow. They less they forget is that Mangula is dead asleep. Wake up Mangula, Chadema is stealing the party.
nimeona itv kikao cha ndani cha ccm kinachofanywa mbeya na kina lemutumboz inatumika nguvu kubwa sana kumjadili sugu.
yani ccm wamepagawa hawajielewi.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la bwana lihimidiwe , uwekwe mahali unapostahili ccm , wote tuseme amina .