KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
Mkuu kwa habari ilivyookaa Mangula hakuepo Mbeya.Honey moon ya Mangula imeisha??
Safi sana. Swali:... hivi kwa nini kila burushi anataka uongozi kupitia ccm na kupata? Jibu: Kwa kua wana hela na uongozi ccm unauzwa na kununuliwa!Mgogoro Mkubwa umeibuka CCM mkoa wa Mbeya baada ya kumupitisha Mgombea (Burushi) katika uchaguzi wa Kata ya Iyela Mbeya.
Leo kundi pinzani ndani ya CCM liligoma kwenda kwenye kampeni kwa madai kuwa mgombea amepita kwa Rushwa!!!
Pia wapo wana CCM ambao wameanza kumubeza Mangula kwa Kitendo Chake cha kushindwa Kuwachukulia hatua Wana CCM waliopita kwa Rushwa wakati wa Uchaguzi wa ndani ambapo yeye Mangula aliahidi kufanya hivyo ndani ya miezi sita.
Wana CCM hao wanasema Mangula Mwenyewe anatuhumiwa na Yono kuwa alimulinda Lwenge ambaye alitoa Rushwa na kujipatia madaraka!!
Leo WanaCCM pinzani walijaa kwenye Mikutano ya Chadema na kubeza ile ya CCM!!!
Mkuu kwa habari ilivyookaa Mangula hakuepo Mbeya.
mimi sijakuelewa unataka kulipoti nini sasa,watu wengine bwana.
Mgogoro Mkubwa umeibuka CCM mkoa wa Mbeya baada ya kumupitisha Mgombea (Burushi) katika uchaguzi wa Kata ya Iyela Mbeya.