Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Status
Not open for further replies.
Sawa, busara nakiri hazipo.

Lakini mbona busara za Mange huzihoji?

Do you cosign what she does?

You certainly can't give Mange a pass and dump on Le Mutuz.

Or can you?

Mange's attacks are there all the time to anyone, no discussions on that, ukiendelea nae anakuendeleza, how many ignored her craziness and she stopped?
Why not this old man? Thats what i'm questioning huyu kazidiwa akili na akina Kiki ambao hawakumjibu huyo mange lolote.
 
Lakini le mutuz yeye anafahamika kama mtu mzima,so inabidi yeye wakati mwingine akubali kumeza machungu na kukaa kimya kuliko kutupiana maneno na wadogo zake insta kwani yeye kuna watu wengi wanamwangalia kama role model,kwa hiyoanavyoendelea kutupiana maneno na vijana wadogo anakuwa anweka mfano mbaya hata kama andai kuwa anweka FACT na EVIDENCE lakini ushauri wangu kwake angekua anajitahidi kuuchuna tu.

Thank you Makuta! Yani kama litoto dogo linalojaribu kutoa evidence kwa kila kitu mtandaoni kisa kajibishwa na mwanamke, totally unnecessary
 
Mange attacks are there all the time to anyone, no discussions on that, ukiendelea nae anakuendeleza, how many ignored her craziness and she stopped?
Why not this old man? Thats what i'm questioning huyu kazidiwa akili na akina Kiki ambao hawakumjibu huyo mange lolote.

Hao sijui akina Kiki huenda ndo hata wakawa nyuma ya hiyo ID ya Kichwa nini sijui.

Ndo maana hapo awali nimesema kwamba mitandao ni misitu.

Kwa sababu, kama mtu hatumii jina lake, kujua nani ni nani ni vigumu.

Kwa hiyo mnaweza kuwaona hao akina Kiki kuwa ni wastaarabu sana kumbe hamna lolote. Ndo walewale tu.
 
Then why don't you pay him no attention?

Going back and forth with him does nothing but give him the oxygen of publicity he so seeks.

Don't you think?

By beefing na wanawake? He will get the publicity (of coz he has now as he wished) ila kujishusha heshima kwa cheap public attention at his age? Hata km mie ndo ningekuwa mwanae ningemkataa right on his face.
 
Mbona hata Mange ni mtu mzima...

Kwani mtoto yule? Mtu ana watoto watatu na ndoa [iliyo ICU] atakuwa mtoto huyo?
Ni kweli huyo Mange ni mtu mzima,lakini Nigga wako ni mtu mzima zaidi enough to be Manges dad,lakini anayoyafanya hayafanani na alivyo,ni sawa na wewe hapo uwe unabishana na binti yako in public ,je ni sawa? binafsi ningemshauri le mutuz aachane naye na asitumie muda wake kujibishana na Mange ambaye pia naye namuona kama mtu mkorofi na mtafuta shari wakati wote,kwani ukitajiwa hiyo orodha ya watu aliokorofishana nao hutohitaji hata kupishana nae kwa nukta,kwani anaonekana huwa anatafuta shari muda wote ili aweze kugombana na watu.So brother Ngabu tell your Nigga to play detente with that hag(as he use to call her).
 
Hao sijui akina Kiki huenda ndo hata wakawa nyuma ya hiyo ID ya Kichwa nini sijui.

Ndo maana hapo awali nimesema kwamba mitandao ni misitu.

Kwa sababu, kama mtu hatumii jina lake, kujua nani ni nani ni vigumu.

Kwa hiyo mnaweza kuwaona hao akina Kiki kuwa ni wastaarabu sana kumbe hamna lolote. Ndo walewale tu.

Yote yawezekana lkn huyu tunamchukulia mkubwa wetu, hivi unanfataje mtu kama huyu akupe ushauri wa lolote?
 
By beefing na wanawake? He will get the publicity (of coz he has now as he wished) ila kujishusha heshima kwa cheap public attention at his age? Hata km mie ndo ningekuwa mwanae ningemkataa right on his face.

Kwani ku beef na wanawake ni ishu? Wanawake hawana hadhi wala uwezo wa ku beef na wanaume?
 
Yote yawezekana lkn huyu tunamchukulia mkubwa wetu, hivi unanfataje mtu kama huyu akupe ushauri wa lolote?

Kama mtu unamwona hana maana si unampotezea tu..

Halafu busara hazina umri wala rika.

Kijana mdogo tu anaweza akawa na busara nyingi sana kuliko vibabu na vibibi.
 
Ni kweli huyo Mange ni mtu mzima,lakini Nigga wako ni mtu mzima zaidi enough to be Manges dad,lakini anayoyafanya hayafanani na alivyo,ni sawa na wewe hapo uwe unabishana na binti yako in public ,je ni sawa? binafsi ningemshauri le mutuz aachane naye na asitumie muda wake kujibishana na Mange ambaye pia naye namuona kama mtu mkorofi na mtafuta shari wakati wote,kwani ukitajiwa hiyo orodha ya watu aliokorofishana nao hutohitaji hata kupishana nae kwa nukta,kwani anaonekana huwa anatafuta shari muda wote ili aweze kugombana na watu.So brother Ngabu tell your Nigga to play detente with that hag(as he use to call her).

Wote hao ni watu wazima wanaoitwa baba na mama.

Inafikia sehemu umri wa mtu unakuwa si hoja tena.

Na kwenye hilo bifu lao umri wala si hoja maana wote ni watu wazima tena walio wazazi na wanaojua tofauti kati ya zuri na baya.

Hivyo, kwenye mgawanyo wa lawama wanapata mgawanyo sawa.
 
Kama mtu unamwona hana maana si unampotezea tu..

Halafu busara hazina umri wala rika.

Kijana mdogo tu anaweza akawa na busara nyingi sana kuliko vibabu na vibibi.

William Melecela angekuwa on 30s or 40s, maybe. 50s almost 60s beefing with30s, and women on social media? Lordt! Atakuwa kazaliwa na hormones za kike km members wa rainbow! Now najua atakuja hapa kujichekesha uongo with his Stank black behind, what he does best akimaliza, he can stick that middle finger wherever he knows and leave peacefully.
 
Hahahaaa haya bana...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom