Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa.
Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa.
Kwa kifupi system ya udikteta, ubabe na kutia hofu watu ilianzia hapa. System ya vyombo vya habari kupigwa pini na serikali ilianzia hapa, kifo cha ITV na media zingine kubwa kilianzia hapa na mara nyingi nilikiwa natoa warning kwa Watanzania kipindi cha Magu, nikiwaambia hii system mnayoruhusu Magufuli aijenge eti sababu anawaita wanyonge na kusema mliibiwa sana mkae mkijua ndio haitofutika tena bila damu kumwagika. Nilikuwa nawaambia hii all the time and sure enough aliemfata akaendeleza kwa speed ya 5G na akaongeza ukatili mara elfu 10.
Mnao mliliaga huyu kiumbe mlilieni tu ila pia msijitoe akili, mkubali kuwa mateso tunayopitia sasa hivi chimbuko ni Magufuli……
I hope tumejifunza kitu na huko mbeleni hata mtu gani atuite wanyonge hatutompa unchecked power. Now let’s fight to undo the mess Magufuli started, tulete haki kwenye nchi yetu ili tuweze kuwa na amani.
HAKUNA AMANI BILA HAKI NA HATUTAKI AMANI KAMA HAKUNA HAKI. SIO SISI TUKOSE HAKI ZETU NA RAHA KWENYE NCHI YETU ILA KUNDI DOGO LA MAFISADI MNATULAZIMISHA TUWAPE AMANI ILI MU ENJOY MALI ZENU MLIZOTUIBIA KWA AMANI. BORA TUKOSE WOTE…… NARUDIA EITHER HAKI ITOLEWE AU TUKOSE WOTE!!!!!!!