Mange Kimambi kiko wapi!

Mange Kimambi kiko wapi!

Wewe umefungiwa ndani kinyume cha sheria na serikali yako kama kimada, sababu ya mange kimambi. Na kesho JenZiii wanaendelea mtafanywa wanawali mpaka muive ngozi kama waarabu
Umefungiwa wewe usie na shuguli ya kufanya ulitegemea watoke ukaibe kama kawaida yenu.... Hakuna alie kuambia ukaendani
 
Nchi na ukubwa wote mnaogopa Mange, mtu mwenyewe hata mkononi ajai, nikuambie kitu hizi vuguvugu zitakuja kulipuka kama watawala wataendelea kuziba masikio tusijipe matumaini kwamba hamna kitu
 
Niwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,
Ina mkono mrefu kweli maana hata hii Jamiiforums uliyotumia wewe kuleta hiyo taarifa yako pia imepitiwa na mkono wa serikali.
 
Ina mkono mrefu kweli maana hata hii Jamiiforums uliyotumia wewe kuleta hiyo taarifa yako pia imepitiwa na mkono wa serikali.
Kwani ujao Kua hata boss wa jf alipokea mrungula??
 
Ina mkono mrefu kweli maana hata hii Jamiiforums uliyotumia wewe kuleta hiyo taarifa yako pia imepitiwa na mkono wa serikali.
Kwani ujaona Kua hata boss wa jf alipokea mrungula??
 
Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
Huna akili hadi sasa maandamano yamefanikiwa 💯 vyombo vyaulinzi vinaandamana nchi nzima shughuli haziendelei watu wamejifungia majumbani biashara zinefungwa au kwako maandamano ni kuona watu wanauliwa? Unajua hasara nchi inaingia kwakukosa kodi nakuingiza vyombo vya usalama barabarani?Hata jeuri yakukusanyika mbogamboga hamna mtatoboaje hii miaka mitano?
Ni kweli ina mkono mrefu. Lakini inashindwaje kuwapata watekaji na wasiojulikana.?
Mkono mrefu lakini mkono wa sweta qmmk
 
Kijana kama wewe ilipaswa uhoji watu wanao tekwa wako wapi Kodi zako zintumikaje n.k

Ni aibu kuwa na vitoto kama hivi
Huyo dogo anasubilia teuzi tu maana nasikia madogo wengi wa mbogamboga waliwa marinda na wazee wa vetting ili wawaingize kwenye teuzi
 
Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.
Hii X ambayo mtu mmoja anaweza kuwa na account zaidi ya 10? Au umechaganyikiwa.
 
Niwakumbushe tu serikali ina mkono mrefu, kiko wapi Mange Kimambi anaogopa kupost huko X, ameshapewa onyo kuwa akileta zake account yake X pia wanapita nayo.

Mange mnamuonea tu
Anachosema mange ni maovu wanayofanya watawala, so ni options yako kumsikiliza au kuendelea na mambo yako

Ila yote anayosema yapo, wizi upo ufisadi upo,
 
Back
Top Bottom