Si umefurahi sana? Wajinga nchi hii ni wengi sana.Niwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,
Nyie wajanja mlitakiwa mmsaidie sasaSi umefurahi sana? Wajinga nchi hii ni wengi sana.
Kijana kama wewe ilipaswa uhoji watu wanao tekwa wako wapi Kodi zako zintumikaje n.kNiwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,
Kijana kama wewe ilipaswa uhoji watu wanao tekwa wako wapi Kodi zako zintumikaje n.kNyie wajanja mlitakiwa mmsaidie sasa
Ni kweli ina mkono mrefu. Lakini inashindwaje kuwapata watekaji na wasiojulikana.?Niwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,
Kafieni mbele huko mshawaona watu wajinga si siku zote ulikua unasema utatoka tuambie ulipo tujiungeYaani Mange aogope kupost🤣
After 6months tutakutana hapa
Si umefurahi sana? Wajinga nchi hii ni wengi sana.
Umekaa kabisa unamuwa Mange ?Niwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,
Mambe hakuwa sababu ya mauaji ya watu wale. Kulikuwa na mengi hiyo 29 October, na kila mtu abebe msalaba wake na uwajibikaji wakeMange alisababisha watu wafanywe mbaya 29,
Wewe umefungiwa ndani kinyume cha sheria na serikali yako kama kimada, sababu ya mange kimambi. Na kesho JenZiii wanaendelea mtafanywa wanawali mpaka muive ngozi kama waarabuKafieni mbele huko mshawaona watu wajinga si siku zote ulikua unasema utatoka tuambie ulipo tujiunge
kichwa yako ina kamasi.Niwakumbushe tu serikali inamkono mrefu,kikowapi mange kimambi anaogopa kupost huko X,ameshapewa onyo kua akileta zake account yake X pia wanapita nayo,