Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,391 Oct 13, 2018 #61 yna2 said: Sijawahi pakatwa..labda kulala chali Click to expand... Hehehehehe Nyie ndio wale dhambi zako mwnyw
yna2 said: Sijawahi pakatwa..labda kulala chali Click to expand... Hehehehehe Nyie ndio wale dhambi zako mwnyw
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 40,022 Reaction score 51,165 Oct 13, 2018 #62 Upendo ni wa Mungu halafu unafuatia na wa Mama; Binadamu wengine tunatumiana tu.
kibol JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 4,636 Reaction score 2,885 Oct 13, 2018 #63 Kishundu hana ila anajibenua tu.
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,712 Oct 13, 2018 #64 Mkate wa boflo hata uwe mkubwa vipi dawa yake ni kikombe cha chai tuu, tena kidogo dogoooo!......
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,556 Oct 14, 2018 #65 0713 sio brand new
Tumbo Tumbo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 1,278 Reaction score 1,556 Oct 14, 2018 #66 Uda said: Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura. Click to expand... Kwa Hiyo Hii Nayo Ni Habari?
Uda said: Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura. Click to expand... Kwa Hiyo Hii Nayo Ni Habari?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,024 Reaction score 59,684 Oct 14, 2018 #67 Uda said: Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura. Click to expand... Njoo babe nikupakate
Uda said: Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura. Click to expand... Njoo babe nikupakate
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,082 Reaction score 10,443 Oct 14, 2018 #68 Dah...halafu ni "raia wa kigeni"....huyu dada anajitafutia matatizo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah...halafu ni "raia wa kigeni"....huyu dada anajitafutia matatizo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,320 Oct 14, 2018 #69 Mbona hata stripers huwa anaweza kufanya ivo kwa mwanaume yyt!