Ingekuwa vizuri ukituwekea na sisi picha tuone.Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura.
Hongera zake
Amekalia gogo
Ukashindwa kuishea hapa? Habari kama hii bila picha ni umbea tu....Naona katika ukurasa wake wa Insta amepost akiwa amepakatwa na mwanaume aliyemficha sura.
Waheshiwa wajumbe makini kama wewe ni wa kulipwa posho ndefu





BabuUkashindwa kuishea hapa? Habari kama hii bila picha ni umbea tu....
#dustbin#



Babu shikamooUkashindwa kuishea hapa? Habari kama hii bila picha ni umbea tu....
#dustbin#
Dah!!!wametokelezea vizuri,hongera zake mzungu.
Ukashindwa kuishea hapa? Habari kama hii bila picha ni umbea tu....
#dustbin#

Labeka!Babu![]()
Babu usiende Gym, nitakutengenezea bembea homeLabeka!




