Mange Kimambi afungua Apps ķatika playstore Android!!

Tena wanaume kibao wanamfatilia kisirisiri hlf wanajishaua tu hapa. Hata kama hawampendi wanasoma habari zake [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bashitee mwenyewe anaki fake id anakitumiaa kuchunguliaa kwa mange
 
Kumbe na wewe ulimfuatilia??? Sasa wapuuzi wanaonyana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Samahani kaka wa mitusi nilitereza.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hao wajinga ndiyo wata-subscribe kwa dola 1. Kwa kitu gani kupata habari za umbea? Hata bure siwezi kudownload app ya kijinga kama hiyo.
 
Ameanza kutumia uzuzu wetu Na uchakubimbi uliochanganyika Na ushilawadu Kama fursa
 
Hichi kibibi gagula blog yake ilimshinda kisa ukata..naona amekuja na style mpya ya nitoke vipi!! wanaomchangia wana moyo kweli!!
 
Ameanza kutumia uzuzu wetu Na uchakubimbi uliochanganyika Na ushilawadu Kama fursa
You among of them??mazuzu family? Mbona uzuzuwetu unakubalije kuwa zuzu??
 
He, anataka muwe mnalipia tena....'bunge live' imeshakuwa mzigo?
 
Kipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
We mwenyewe unamfatilia umejuaje kama anayezungumziwa ni mange?unajifanya humfatilii wakati umekimbilia kuufungua uzi unaomhusu
 
ni rahisi sana kwa mavi kumpita kooni huyu maza kuliko kupata "michango" kutoka kwa mswahili.. mswahili sio mtu
 
Hichi kibibi gagula blog yake ilimshinda kisa ukata..naona amekuja na style mpya ya nitoke vipi!! wanaomchangia wana moyo kweli!!
Alikuwa na Tangazo la Voda, tatizo akawa anatoa mfululizo wa Matusi na Michambo wakaachana nae kumsponsor na kiblog chake kikafa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…